
Abbah – The Evolution Album Lyrics
Mwagia Ndani Lyrics by Abbah ft Maua Sama, Mwagia Ndani Lyrics by Abbah ft G Nako
(Sounds by Abbah)
Long time niikuona eeh
Penzi kama tulianza jana
Sometimes ananikera
Nampea kwanza nawaza naye
Mafisi wanajikoki
Wataka penzi langu hawalipati
Ndo kwanza ye ananiposti
Pole wabambe itawakosti
Eeh tate nane tumeshibana
Eeh sa itakuwaje tukitengana
Tukiongozana si unaona
Bibi na bwana si unaona
Tunavyopendana si unaona
Mfupa kwa nyama si unaona
Boy now tell me what to do
Written by; Abbah, Maua Sama, G Nako
Released date; 26 February, 2021
Album/EP; The Evolution