Bensoul Maombi Ya Peddi Lyrics
Oh yeah
Hii ni story ya peddi wangu
One we gonna win
One day we gonna win
Mi uomba sana
Peddi wangu asidandiwe
Mi uomba sana
Walofungwa na bangi waachiliwe
Gava imejaza wezi
Makesi ziko pending
We’ve been fighting for the same things
One day we gonna win (One day we gonna win)
You can tell we’ve had enough
Every corner is burning up
Free the people, free the land
Wacha iwake mpaka iland
Economy mbaya hakuna works
Yout man ameanza kuplant
Kazi ni kazi, janta ni janta
Ata kama napanda ganja
Kenya imejaa viwanja, mingi kuliko London
Tukianza kuzipanda, watu watajipanga
We’re running out of answers, tumelalia mkwanja
Na tungekuwa wa kwanza kufukuza cancer
Mwenye ata legalize
Ndio atafanya kenya irise walahi
Naomba tujiannalize we need to think twice
Mi uomba sana
Peddi wangu asidandiwe
Mi uomba sana
Walofungwa na bangi waachiliwe
Gava imejaza wezi
Makesi ziko pending
We’ve been fighting for the same things
One day we gonna win (One day we gonna win)
If we ever legalize, I believe it yeah we might
Mr President, I have one question
Will you pay the people paying the price, doing time, wasting life
Juu ya bangi tu, ako ndani ya prison
Aki my brother was alright, he was never into crime
Alishikwa in his prime, messed up
Hii kenya tunasurvive , matajiri one side
Tumeshindwa kupigana na corruption
Moment of silence for my brothers, wale walishikwa na shada
Hatuwezi kunyamaza juu wengi wamemadwa
Wale walizichanganya wakatupa radar
Wale walituachanga, juu hawakupewa dawa
Kitambo ilikuwa laana
Ati ukiochoma sana, we si mtu wa maana
Kwani hawajui Obama alikuwa ndani ya chama
Alikuwa mwenye chama
Na kupitia Marijuana, ndio wengi tumejuana
Kuna deal mingi sana zenye tumeelewana
Tunainuana na bado hatujapanda
Ukiomba aki omba sana
Peddi wangu asidandiwe
Mi uomba sana
Walofungwa na bangi waachiliwe
System imejaza wezi
Makesi ziko pending
Tunapigania the same things
One day we gonna win (One day we gonna win)
Ooh one day we gonna win
Ooh one day we gonna win