Bensoul Namanga Lyrics
Wewe
Are you ready
To open up your mind to lose the sense of time
Leo huwezi nipata nyumbani
Leo mi silali
Tunafukuza mashetani
Nimekusoma umenisoma
Girl you’re sexing up my mind
So what we go out every corner
Make some memories tonight
Pale umeshika shika tight
Oh baby vuta vuta tai
Tonight we own the ride, yeah
Oga baby oga
Tupatane border
Ukileta vitu Namanga
Leta vitu Namanga
Oga baby oga
Tupatane border
Ukileta vitu Namanga
Leta vitu Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Letu vitu Namanga
Early in the morning uhh
We’re waking up the neighbours
Jana imekuwa kesha, na tulivunja meza
In the moment
We’re crossing borders, we’re getting closer
Ukiniguza utamu kwa kucha
Tuko kwa ukuta
Ni kama picha
Siwezi ficha
Oga baby oga
Tupatane border
ukileta vitu Namanga
Leta vitu Namanga
Oga baby oga
Tupatane border
Ukileta vitu Namanga
Leta vitu Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Namanga
Letu vitu Namanga