Country Wizzy – Baba Lyrics

Country Wizzy The Father EP

Country Wizzy – The Father EP

Country Wizzy Baba Lyrics

[Intro]
Mmh! Paul maker Turn Me Up Little Bit More Lets Get it
BABA BABA BABA BABA BABA BABA OK

[Verse 1]
Nshazungukwa na wana wengi They never Change Me
Nshawaweka sana Benchi Kudadadeki
Ukila buyu mbona fresh sidili na feki
Awanikubali Mi ni Monster They UnderRate me (Mmh Yeah)
In My City Yoow Wananiita mandingo
NavyoDribo kwa izi Flows Wananiita Taliboo (WEST)
Yes Im So Fresh
Vile na Clean Nice Mazee Im So Fresh
Formation Yetu 4.4.2
Inbobo Babe full
Tunaishi nao na hatuna Vyetu Ni Mikogo Tu
Malaya ni kimoko Tu
Kuna V.V.U
Ukiniona na Demu wako wa mjini ujue Ni Kick tu
Mitaa imeshanipa Ruksa Hainipingi
Watoto wakitaka Ruka Ni vigingi
Mkongo Ukiuvalia Shuka Ni Ushindi
Mimi Ni Mkulungwa All Time Misanja Bingi (Uuwiii)

[Chorus]
Wakiuliza Huyu Nani Waambie Ni Gaddafi One more time bebe
(Laugh) Whats My Name Yoooow OK
BABA (yesir) BABA (woouu woouu) BABA(yeyeee)
BABA (say Whaat?) BABA (woouu woouu)
BABA (yeyeeee)

[Verse 2]
Na magoli yangu Ya offside nyuma ya Beki
Kuniita show sio Poa Bonge la Bajeti
Mambo Ya Ela ndogo ndogo Please Don’t Beg Me
Chako changu baba Cha kwangu hakiombekii
Washamba wanakunja Eti Nina Ball
Wanauliza Vile Na Roll
Nacheka tu What The F****k with Yoo
Naitwa Fisi Wa Rap Kwa hizi Flows Nakujuza
If you didnt know,now you know Niggaaa
Flow ni New Skull naziko Marinated
Ma fans wanataka flavour So Acha nizilete
Naitwa KING bila Crown Can You Bieleve It
Wasioniamini Drop Down i Just Delete it
Go go Tell Everybody
KondeGang For everybody
Tuko Peace heey Buddy
Dont hate Nobody
Nikiwa stage Show kali
Kuhusu Swagg im your Daddy
Ladies they know about it (Uwiiii)

[Chours]
Wakiuliza Huyu Nani Waambie Ni Gaddafi One more time bebe
(Laugh) Whats My Name Yoooow OK
BABA (yesir) BABA (woouu woouu) BABA(yeyeee)
BABA (say Whaat?) BABA (woouu woouu)
BABA (yeyeeee)

Written by; Country Wizzy
Produced by; Paul Maker
Released date; 20 September, 2020
Album/EP; The Father

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: