Evelyn Wanjiru – Mungu Mkuu Lyrics (Live)

Evelyn Wanjiru Mungu Mkuu Lyrics

Zaidi ya yote ,utabaki
kuwa Mungu Mkuu.
Alpha Omega,
hubadiliki kamwe
Nikitazama nyuma na
mbele,naona ukuu wako
Kaskazini. Kusini pia
naona ukuu Wako
Magharibi nako
Mashariki pia eh naona ukuu Wako.

Zaidi ya yote ,utabaki
kuwa Mungu Mkuu.
Alpha Omega,
hubadiliki kamwe
Hakuna mkamilifu
Katika wanadamu eh
Kila goti lipigwe,kila
ulimi ukiri kuwa Yesu ni
Mungu pekee eh

Zaidi ya yote ,utabaki
kuwa Mungu Mkuu.
Alpha Omega,
hubadiliki kamwe
Umenipigia vita vikali,
ambazo Mimisingeweza
pekee yangu.
Maadui waliniandama
lakini ukawatawanya
kwa njia saba
Usifiwe, Uabudiwe
Usifiwe,Uabudiwe eh

Zaidi ya yote ,utabaki
kuwa Mungu Mkuu.
Alpha Omega,
hubadiliki kamwe
Anabaki kuwa Mungu tu

Evelyn Wanjiru Mungu Mkuu Lyrics English Translation

Above all, you will remain
to be the Great God.
Alpha Omega,
they never change
Looking back and
forward, I see your greatness
North. South too
I see Your greatness
West too
East also eh I see Your greatness.

Above all, you will remain
to be the Great God.
Alpha Omega,
they never change
No one is perfect
In humans eh
Every knee should bow, every
the tongue confesses that Jesus is
Only God eh

Above all, you will remain
to be the Great God.
Alpha Omega,
they never change
You have fought a fierce battle for me,
which I could not
my only one.
Enemies stalked me
but you scattered them
in seven ways
Praise, worship
You are praised, Worshiped eh

Above all, you will remain
to be the Great God.
Alpha Omega,
they never change
He remains only God

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: