Femi One – Hepi Lyrics

Femi One Hepi Lyrics (feat. King Kaka & Mbithi)

I like that.. Recipe ya hepi..

Ukinibeba ufala nashuka haraka najam
Juu nangoja maskani sana kwa hamu na kam
Kama wee si beshte damu mie siwezi kuita fam
Kuna minor kwa sherehe mwishowe anaitwa na mum
Juu masaa niya hepi, chunga masaa niya dhambi
Isee whaa ican do na wababa wa vitambi
Kamkopo kalichipa soo leo si changi changi
Juu mixer niya remi na pombe za kariobangi
Hangover kesho italia kaa ya watu wawili
Maramoja itabidi nimemeza mara mbili
Lakini aidhuru bora vago tusiseti picha
Tunachoma sana ju kwa sababu ya hepi!

Recipe ya hepi …
Maganji, washkaji, vinywaji
Ndio recipe ya hepi
Recipe ya hepi –

Brown girl amenenga kilamundu
Kile anadai ku buy it’s mike’yo
Vive ata mayai yaku fry
Kaaketa waka chazi kuneya musembu
Muya au kunatwili tonight ni mama brathe
Mkamba ma ..?
Circle lili cheeser na vefe na maa pause
Niki come around si unajua how
Because mi si brag labda unikute meno
Niki flause
Dakika mbili tumebonga one hour
Tumemake elnino na machampaign shower’s
Tipa ya kuchapa si pesa ndio dawa
Siri ya juu fly’s si pesa ndio mapawa

Recipe ya hepi…
Maganji , washkaji, vinywaji
Ndio recipe ya hepi

Niko na hanjam true story walai
Nairobi mji wa free wifi
Mkristo ana meza divai
Mi ni hepi till I die
Huko na who’s who nani-ni
Tuna sele madesign ni kiingia magizani-
Utanipata na boiz wangu unaishi kikuyu
Leo unalala roysambu
Marashi tulishare ulimi major razor
Meza yangu mathree isay beba beba
Hii friday tuko na nameless na noon’s remi nyake na supuu ya bones

Recipe ya hepi…
Maganji, washkaji, vinywaji
Ndio recipe ya hepi

    Lyrics Details:

  • Written by: Femi One, King Kaka, Mbithi
  • Album: Hepi
  • Released: 2022