Gwaash – Makofi Lyrics

Gwaash Makofi Lyrics

Gwaash – Makofi Lyrics

Gwaash Makofi Lyrics

Kikiki (Ingine mbaya)
K for Kanali you know
Fatboy Gwaash (Kuru)

Hainanga kelele
Leo me Ni sterro nakusongesha kidere
Speedy za 150 tukipunguzanga gede
Kaende kaende, ziraru raruere
Party tulifika Kama tushakata drinx
Io unamaanisha kutoka hapa jo tunamix
Shadda inalula me najing mataxine,
Saizo shawty anarushanisha sianda kwa scene, ati?

Geuka mami tupige makofi
Geuka mami tupige makofi
Geuka mami tupige makofi
Geuka mami tupige makofi

Tupige makofi, tupige makofi
Tupige makofi

Hio sianda ina clap
Kwanza baby ukitwerk
Unanimada ninadry hella baby ju ya ass
Kakikula hio swallo ndio najua una ass
Sio dera unafaa, ni booty pant unafaa

Pale coast kwenye beach, watajua you are my bitch
Si utani hio haga itafanya ukuwe rich
Wengi wanameza mate but utadu nini
Tippy toe, tippy toe, tippy toe clubu covid
Ati mimi ndio Gwaash, toto nilikuwa nasnadi
Nawachai kimangoto sio moto ni kipaji
Kushika pesa jo mtoto hizo boss za wangati
Bazu nikibanja wote wanakula moto
Wanadigi mikono zangu zimejaa tu mangoto
Toto wote wao wanajua mi mode fimbo mo, fimbo moto

Geuka mami tupige makofi
Geuka mami tupige makofi
Geuka mami tupige makofi
Geuka mami tupige makofi

Tupige makofi, tupige makofi
Tupige makofi

Written by; Gwaash
Released date; 28 October, 2020

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album: