Jovial – Kioo Lyrics ft. Arrow Bwoy

Jovial Kioo Lyrics

Jovial – Kioo Lyrics ft. Arrow Bwoy

Jovial Kioo Lyrics

They call me Arrowbwoy
The Baddest

(Shaka zulu yeah)
(Utembe)

Anataka penzi la dhati
Tena mautundu kiasi
Mi kwake dawa napoza
Nalipwa na jeraha yeah

Kwako marufuku, tena sio dhubutu
Nampa maradufu, vikavu na vya supu
Kwako marufuku, tena sio dhubutu
Nampa maradufu, vikavu na vya supu

Anasema anahamia kwangu mie
Anahamia kwangu mie
Anasema hamwendani nyie
Hamwendani nyie

Anasema anahamia kwangu mie
Anahamia kwangu mie
Anasema hamwendani nyie
Hamwendani nyie

Kioo kioo, we ndio wangu kioo
Kioo kioo, we ndio wangu kioo
Kioo kioo, we ndio wangu kioo
Kioo kioo, we ndio wangu kioo

(Vicky pon dis)

We ndo unanipa burudani
Kwa wengine sitamani
Niruhusu nikupeleke nyumbani
Baby

You light up my world wangu mwangaza
Nikikucheki tunafanana
Everywhere you go I will follow you
Follow you

Penzi iwe sheria ka katiba nitasoma
Sema umeniroga mimi kwako sitakoma
Kwako mi ndio badman na namba wataisoma
Wataisoma, wataisoma

Penzi iwe sheria ka katiba nitasoma
Sema umeniroga mimi kwako sitakoma
Kwako mi ndio badman na namba wataisoma
Wataisoma, wataisoma

Nimeamua nahamie kwako mie
Nahamia kwako mie
Si unajua tunaendana sie
Tunaendana sie

Nimeamua nahamie kwako mie
Nahamia kwako mie
Si unajua tunaendana sie
Tunaendana sie

Kioo kioo, we ndio wangu kioo
Kioo kioo, we ndio wangu kioo
Kioo kioo, we ndio wangu kioo
Kioo kioo, we ndio wangu kioo

Aah sawa, Aah sawa, we ndio daddy
Aah sawa, Aah sawa, we ndio mammy
Aah sawa, Aah sawa, ata waseme we ndo hunnie
Aah sawa, Aah sawa, I’m gonna fight for your love

Aah sawa, Aah sawa
Aah sawa, Aah sawa
Tuko sawa, sawa, sawa

Written by; Jovial, Arrow Bwoy
Released date; 9 December, 2020

https://www.youtube.com/watch?v=VZ9w__Hre7E

Kioo Lyrics Jovial ft Arrow Bwoy

    Lyrics Knowledge:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: