Kambua – Neema Lyrics

Kambua Neema Lyrics

Kambua – Neema Lyrics

Kambua Neema Lyrics

Ngekua jambo la kustahili,sijui ningekua wapi?
Ingekua sababu ya matendo, sijui ningetupwa wapi
Ingekua kulingana na jina, sijui ningeitwa nani

Ningeitwa marehemu
Ningeitwa mimi tasa
Ningeitwa asiyefaa
Asante yesu kwa neema yako,
Wokovu nimepata bure
Asante yesu kwa neema yako,
Kufa ningekufa
Asante kwa neema yako,

Kutupwa ningetupwa
Jalalani ungenipata, nikila uchafu
Msituni ungenikuta, nikila majani
Jalalani ungenipata, nikiwa mchafu
Msituni wangenitupa niishi na wanyama
Mnyonge mimi,wangenidharau tu
Mdhaifu mimi wangenikanyaga tu
Sina nguvu mimi wangenimaliza tu

Ningetupwa kenya tanuru la moto niangamie
Ningetupwa kenya shimo la simba,nifie huko
Ningetupwa kwenye tanuri la moto niangamie
Ningetupwa kwenye shimo la simba, indie juke
Jalalani ungenipata, ikila uchafu
Msituni ungenikuta, nikila majani

Asante yesu kwa neema yako
Wokovu nimepata bure.
Asante yesu kwa neema yako
Kufa ningekufa
Asante yesu kwa neema yako

Kutupwa ningetupwa
Jalalani ungenipata, nikiwa mchafu
Msituni wangenitupa, niishi na wanyama
Ni kwa neema(neema) ×6
Asante kwa neema ×6
Ni kwa neema yako

Written by; Kambua
Released date; 28 October, 2020

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: