Kapnea – Daddy Lyrics

Kapnea Daddy

Kapnea – Daddy Lyrics

Kapnea Daddy Lyrics

[Verse 1]
I love the way you walk
Safari iishe kitandaani,
Hawataki nipande
Na niko shambaani,
Wapake mafuta wajipange
Mi naingia ndanii, uyeah
Sina haja ya sim card
Na uko laini (Uko laineee)
Don’t listen to nobody,
(Nobody)
i love the way tha you (nyongaring)
Ntakufinya kama ugali,
(Kaa ugale)
Vile i’ve been wazaring
Me hupiga ma me mi mo nikiwa kwa move,
La le li lo nikienda lu,
Ja je ji jo vile uko juu
Unapenda kula nyama niko tayari kukuu

[Chorus]
Sshh!! Niite papaa
(mwite papa, mwite papaa)
Ssshh! Nite daddy
(mwite daddy mwite dadii)
Sshh!! Niite papaa
(mwite papa, mwite papaa)
Ssshh! Nite daddy
(mwite daddy mwite dadii)
Niite papaa, (mwite papa, mwite papaa)

[Verse 2]
We wachana na vibaka kwanzia leo
Baby you should follow mee,
I’m gonna give you how you like it girl
sina uhuni wa kikolonii, yeeah
Go low, slomo
Nakuvaa kaa nguo ya polo,
Yolo, your love,
Usigawe baby nipe mimi solo
Skin light na uko bright, kaa taa
Your shape your waist, kataa
Nakupa boli uwanyani naku do, wazaa
Kila siku nakuwazaa
Me hupiga ma me mi mo nikiwa kwa move
La le li lo nikienda lu
Ja je ji jo vile uko juu
Unapenda kula nyama niko tayari kukuu

[Chorus]
Sshh!! Niite papaa
(mwite papa, mwite papaa)
Ssshh! Nite daddy
(mwite daddy mwite dadii)
Sshh!! Niite papaa
(mwite papa, mwite papaa)
Ssshh! Nite daddy
(mwite daddy mwite dadii)
Niite papaa, (mwite papa, mwite papaa)

Written by; Kapnea
Released date; 25 October, 2020

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album: