Loui – Sawa Lyrics

Loui Lights on Me Album Lyrics Tracklist

Loui – Lights on Me EP Lyrics, Tracklist

Sawa Lyrics by Loui

Eeee

Kwani mapenzi niyawawili, usijeniacha solemba
Tena uzitunze hizo zangu Siri, usijeniacha n’kateleza

Baby, Tia pilipili nyanya kachumbali, tuanze lumangia
Mwenzio akili hoi n’shasafiri inasonga njia

Manuari ishazama (Aaawe)
Kwandani Swalama (Nawee)
Navile tunagandana (Aawee)
Tunafanana (Nawee)

Napenda ukin’susia Hooh aah Sana
Shimoni naingia Ooh aah tamu Sana

Hata nisemwe,ning’ong’we hadharani na watu (Sawa sawa sawa)
Kwako tulituli ndo n’shatulia (sawa sawa sawa)
N’takung’ang’ania,n’takushikilia (sawa sawa sawa)
Na ukitaka Mali,Nitakupatia (Sawa sawa sawa)

Ona akili yangu Mwenzako Haisomi,
Subakheri N’shakweka Moyoni
Unanipatiaga,Viudambu-udambu
Unaniwezeaga
Naukijifukizaga Aah Alkhabi
Unanimalizaga!

Baby, Tia pilipili nyanya kachumbali, tuanze lumangia
Mwenzio akili hoi n’shasafiri inasonga njia

Manuari ishazama (Aaawe)
Kwandani Swalama (Nawee)
Navile tunagandana (Aawee)
Tunafanana (Nawee)

Napenda ukin’susia Hooh aah Sana
Shimoni naingia Ooh aah tamu Sana

Hata nisemwe,ning’ong’we hadharani na watu (Sawa sawa sawa)
Kwako tulituli ndo n’shatulia (sawa sawa sawa)
N’takung’ang’ania,n’takushikilia (sawa sawa sawa)
Na ukitaka Mali,Nitakupatia (Sawa sawa sawa)

Written by; Loui
Album/EP; Lights on Me

Loui Sawa Lyrics

Loui Sawa Lyrics English Translation

Eeee

For there are two wills, do not leave me alone
And keep my secrets, do not let me slip

Baby, Put the peppers, pickled tomatoes, let’s start
Comrade mind hoi n’shasafari is moving the way

Manual ishazama (Aaawe)
Kwandani Swalama (Nawee)
Navile tunagandana (Aawee)
We are the same (Nawee)

I’d like you to tell me Hooh aah So much
In the dungeon I enter Ooh aah Very sweet

Even if I am told, I will be publicly humiliated by the people (All right)
For you we have calmed down
I will cling to you, I will cling to you (all right)
And if you want wealth, I will give it to you (All right)

See my mind Your Partner Doesn’t Read,
Subakheri N’shakweka Moyoni
You give it to me, Viudambu-udambu
You can count on me
Naukijifukizaga Aah Alkhabi
You’re finishing me off!

Baby, Put the peppers, pickled tomatoes, let’s start
Comrade mind hoi n’shasafari is moving the way

Manual ishazama (Aaawe)
Kwandani Swalama (Nawee)
Navile tunagandana (Aawee)
We are the same (Nawee)

I’d like you to tell me Hooh aah So much
In the dungeon I enter Ooh aah Very sweet

Even if I am told, I will be publicly humiliated by the people (All right)
For you we have calmed down
I will cling to you, I will cling to you (all right)
And if you want wealth, I will give it to you (All right)

    Lyrics Knowledge:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: