Marioo – Asante Lyrics

Marioo Asante Lyrics

Marioo – Asante Lyrics

Marioo Asante Lyrics

Ivy mapenzi ni kitu gani
Mbona sawa ayana huruma
Aya mapenzi ya nani
Uku mbele aa
Yamekuja kuwaje
Chafla kila nnacho fanya akimpendezi eti namkela
Na kasema akinifumania wala ai mchomi
Nafwata kile anacho sema sijiwezi naunga tela
Bila sababu ananinu nia wala simkomi

Ubaya nilipenda sana ukweli nampenda sana
Na kama mapenzi nilipaga yote naumia sana
Ubaya nilipenda sana ukweli nampenda sana
Na kama izi hapa fadhila aya asante

Asante
Asante
Asante
Asante

Mi nawawaza majirani wanao jua nakupenda
Inamaana wakiniona watajua siko sawa

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: