Nadia Mukami – Wangu Lyrics

Nadia Mukami Wangu Lyrics

Nadia Mukami – Wangu Lyrics

Nadia Mukami Wangu Lyrics

Nadia, Sana
(Alexis on the beat)

Wewe nani? 
Unanipigia simu kama nani?
Ati niachane na mume wako nani
unajua Nadia kweli mi ni nani

We ni nani?
Unampigia simu kama nani yeah
Hata utoe vya ndani 
Atarudi hapa kwangu tu nyumbani

Anapenda vidogo dogo
Mwenzako anavimumunya
Mwanamke unapenda zogo 
Tafuta Jambo Hilo la kufanya

Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu kubali yaishe ni wangu
Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu mwishowe ataisha ni wangu

Hivyo vi message na kuficha simu haivinushtui Atachoka nawe mwengine aende huyo hakagui
Kelele ya chura haizui ng’ombe kunywa maji
Kwangu habanduki kwako hatoboki nakwama naye

Anapenda wife material 
Mwenzako anakudanganya
Mwanamke una kasoro 
Tafta Jambo Hilo la kufanya

Ohh ni wangu huyu nasema ni wangu ooh ni wangu
Mwishowe ataisha ni wangu
Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu kubali yaishe ni wangu

Mi sitakoma koma koma koma
Mi sitakoma koma koma koma mama eee
Mi takukomboa komboa komboa komboa
Mi takukomboa kombo msichana we

Ooh ni wangu huyu anasema ni wangu 
Ooh ni wangu mwishowe ataisha ni wangu
Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu kubali yaishe ni wangu

Ooh ni wangu huyu anasema ni wangu 
Ooh ni wangu mwishowe ataisha ni wangu
Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu kubali yaishe ni wangu

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: