Nadia Mukami – Zawadi Lyrics

Nadia Mukami Zawadi Lyrics (feat. Latinoh)

(Instrumental)
Sevens music
Vicky pon dis

Zawadi kanipa mungu sasa kwanini nisipokee,
Zawadi ya kiyoyozi palipo joto baridi unipepee,
Tena baridi si nyingi kiasi usingizi unilete
Nikitoka kazini uchovu mawazo unifanya yapotee,
Ivi ushapendwa manake nikipenda waga napenda kweli,
Uoga kwa wakutendwa usihofu mimi si kama wale matapeli,
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe,
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe,
Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby,
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby,
Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa)
Nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa)
Mi ni wako pekee mwengine hapana, wanaosema watasema sana.

Nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh
Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Zawadi yangu…Zawadi yanguuu
Zawadi yabgu…Zawadi yanguuu

(Instrumental)

Kwa geti ntaekea mbwa kali ndio mafisi wasisogee,
Nikulinde nikutunze sarafu mikononi usinipotee,
Niruhusu nikugande chawa umenishika pabaya,
Unachotaka mi ni sawa,
Mana nishapagawa,
Jamani penzi letu limebobea,
Nimepata wangu mi napepea,
Kitausi naringa nikitembea, unavonipenda najichekea,
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe/na wewe)
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe
Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby,
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby,
Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa)
Nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa)
Mi ni wako pekee mwengine hapana,
Wanaosema watasema sana.

Nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh
Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Zawadi yangu…Zawadi yanguuu
(Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe)
Zawadi yangu…Zawadi yanguuu
(Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe)
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe

Nadia Mukami Zawadi Lyrics English Translation

(Instrumental)
Sevens music
Vicky pon dis

The gift I give to God now why should I not receive,
The gift of air conditioning in cold weather
Again the cold is not so much that sleep brings me
When I come home from work exhausted, my mind wanders,
If you love me, I love you and I love you,
Fear not of the oppressed: fear not, neither be dismayed.
So today I go and play and I love you,
Hold on to the bow and I will be caught by you,
Mmh eeeeh so today I’m playing and playing with you mmmh baby,
Hold me bow and carry me trapped by you baby,
Your depth of love is deep (aaayaayaa)
The power goes out when you look at me (aaayaayaa)
I am your only one and no, those who say they will say so much.

I got my gift gift mmmmh
I got my gift gift yeeeeeah
I got my gift uuuh
I got my gift uuuh
My gift … My gift
My gift … My gift

(Instrumental)

At the gate I will put a fierce dog so that the foxes will not move,
May I keep you and keep the coin in my hands and do not lose me,
Let me freeze the lice you have caught me badly,
What you want is right,
Mana nishapagawa,
Guys, our love is special,
I have found mine and I pray,
Tausi I look at you walking, you love me I laugh,
So today I go and play and I am loved by you / and you)
Hold on to the bow and carry me trapped by you
Mmh eeeeh so today I’m playing and playing with you mmmh baby,
Hold me bow and carry me trapped by you baby,
Your depth of love is deep (aaayaayaa)
The power goes out when you look at me (aaayaayaa)
I am your only one, no,
Those who speak will say a lot.

I got my gift gift mmmmh
I got my gift gift yeeeeeah
I got my gift uuuh
I got my gift uuuh
My gift … My gift
(So ​​today I go and play and I love you)
My gift … My gift
(Hold me bow and carry me trapped by you)
So today I go and play and I love you
Hold on to the bow and carry me trapped by you

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album: