Naiboi – Kenya Power Lyrics

Naiboi Kenya Power Lyrics

Kenya power
Nakam thru ye
A Naiboi worldwide otero
Nakam thru ka ile do una tegea
Kukam thru kama ndoto unaotea
Kisafi shinda ata maji unaogea
Wanapotelea vile ninatokea
Okay

Hush hush
Vile mnaongea
Cheza sista chini hapa sisi hyena
Isifike kesho uskie
Aki Maina
Tuko major league
Swag ma designer
Kutesa siunajua nikama kawaida
Kumeza pia mia mia kama Khalifa
Tujenge na ma drinks ama moshi either
Vile namgusa anaiita Midas..touch

Ana Paukwa
Mina Pakawa
Ana kazima
Mina kawasha
Tuko unpredictable kama kenya power
Tuko unpredictable kama kenya power
Ana Paukwa
Mina Pakawa
Ana kazima
Mina kawasha

Tuko unpredictable kama kenya power
Tuko unpredictable kama….
Ma non believer sasa wanajionea
Pigwa na ile udeadly ata wajazoea
Panda hizi chati tume mwaga mbolea
Wamepatikana ofisa hawa hawatapotea
Dinner date na ka wine hapo kando lazma
Anadai i look good kwa tv yake plasma
75 inch baby hapo sasa
Mungu tutangulie siutoa sadaka
Nanusa ma Ethiopia wapi Lighter
Mindio ndio coach and still the fighter
Cargo miukaza bado zile tighter
Vile Nachafua Kalonzo wapi wiper
Hey!

Ana Paukwa
Mina Pakawa
Ana kazima
Mina kawasha
Tuko unpredictable kama kenya power
Tuko unpredictable kama kenya power
Ana Paukwa
Mina Pakawa
Ana kazima
Mina kawasha

Tuko unpredictable kama kenya power
Tuko unpredictable kama
Nakam thru kama gossip receipts
My Naija Oga ako like wetin be this
Navile naipiga ako weak in the knees
Usikubali defeat
Unaeza spill the Tea
 juu kame jaa tu the brim
Hii feeling ni fit
Kidole cha gumba
Tumenyaka the streets
Wanapiga nduru vile wanani feel
Hash tag mini skirt
Thailand is real
Uliza Avril

Ana Paukwa
Mina Pakawa
Ana kazima
Mina kawasha
Tuko unpredictable kama kenya power
Tuko unpredictable kama kenya power
Ana Paukwa
Mina Pakawa
Ana kazima
Mina kawasha
Tuko unpredictable kama kenya power
Tuko unpredictable kama kenya power
Napenda sana , Napenda sana

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: