Naiboi Nitilie Lyrics (feat. Nyashinski)
Mmmmm
Mmmmm
Wowowowowowoeow
Kikulacho kinguoni mwako
I’d rather it be you nyako
Kakimiya ekeka amako
Na Time kuna noma
Weuni pigania tunabonga
Nahivyo ndio mapenzi ina noga
Wakicheki tu! masiku zina songa
Girl you bad to de bone
When you smile you touch my soul
I cannot go on
without you
Anymore
Unafeel a love so strong
Alafu tena ina donjo
Inamek utake kionjo Uh!
How beautiful
How beautiful
Love so real
alafu tena ina fulfil
Inamek utake kionjo
How beautiful
Wooooo
Basi nchekeche chekecha
Chekeche mama
Nipakulie pakua
Pakua mama
Unitilie ntilie
Ntilie mama niwaringie
Ntilieee waringie
Ntilieeee
Nchekeche chekecha
Chekeche mama
Nipakulie pakua
Pakua mama
Unitilie ntilie
Ntilie mama niwaringie
Ntilieee waringie
Ntilieee
Mmmmmm
Mmmmmm
Wowowowowowoeow
So much to loose so much we do for love
Save my tomorrow
Girl you’re the one
If she didn’t wanna vibe out
Who would ever guess she’s a wild one
Some of them wana uoga sana
Vile watafanya
Still you really wonder why now
Why i feel so safe in your innocence
Nipatie mkono fuata moyo U
Nichague si wengine
Lets make it better than yesterday
Unafeel a love so strong
Alafu tena ina donjo
Inamek utake kionjo
How beautiful
How beautiful
Love so real
alafu tena ina fulfil
Inamek utake kionjo
Oh! How beautiful
Wooooo
Basi nchekeche chekecha
Chekeche mama
Nipakulie pakua
Pakua mama
Unitilie ntilie
Ntilie mama niwaringie
Ntilieee waringie
Ntilieeee
Nchekeche chekecha
Chekeche mama
Nipakulie pakua
Pakua mama
Unitilie ntilie
Ntilie mama niwaringie
Ntilieee waringie
Ntilieee