Naiboi – Otero Lyrics

Naiboi Otero Lyrics

Jisamehe kauli anza hii siku jo na mguu ya left
Hao mafala wakuangi impressed
Nakanyagia breaks when the green lights Red
Interest ni less na place umezoea
Ndio maana mtaa umepotea
Uwezi lenga streets so mtaa umekomea
NaiRobi shamba la mawe nabado una ibiwa mbolea
Na next door neighbor ka geuka millionaire
Nikama hatuna say to be sincere
KU keep up na trends ndio u feel uko there

Buda ako Barz na mtoi hana fare
Unapewa smile safi
Hio ndio future tuna rear
Unaeza achilia your Hair
Mimi kando yako niki roll
Kitu tamu
Tumesoma Magazeti tuna make pair
Damu ina chemkianga Doe
Usaliti ni Role
Kuwa Otero Ndio GoaL
Hii life tunapitia mabonde lakini nayo nayo ki mandela
Otero ndio GoaL
Yesir ametesa na chanel but she say she look good in Donatela

Otero ndio Goal
Enemies wanadhani wata ni score kaa
Goal
My keeper yuko chonjo
Otero ndio Goal
Vibes bado mariwa
Otero ndio Goal
Na
Otero ndio Goal
Kuwa
Otero ndio Goal

Tuna ku celebrate leo juu ume weza weza Goal
 kesho pia weni story tu under the meza Goal
Kusema kutenda kabado naeza kick
Kuwakunywa na ki straw saile bado mnani Ti
Aye
Otero on a cruising ship
entourage inafanya uulize who be dis
Aye
Ma digaga za jacob zime dai sikuoni leo
Ma villain wame Lay Low
Tunachafuanga meza ndio tu sanitize Goal
You can smoke in my keja juu nime legalize GoaL
Na mi ndio otero hapa F* your top 5
Nimeficha white mheshimiwa we ficha wife
Hii life tunapitia mabonde lakini nayo nayo ki mandela

Otero ndio GoaL
Yesir ametesa na chanel but she say she look good in Donatela
Otero ndio Goal
Enemies wanadhani wata ni score kaa
Goal
My keeper yuko chonjo
Otero ndio Goal
Vibes bado mariwa
Otero ndio Goal
Na
Otero ndio Goal
Kuwa
Otero ndio Goal

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: