Naiboi – Uwi Lyrics

Naiboi Uwi Lyrics (feat. Arrow Bwoy)

Ohh she say she likes it ye
How i give her vibes
Ako na niga kwa crib
But am the one she likes
Mpango yake tighti anacheza polite
Navile toto ameiva anadai kua wife
Anapenda ndombolo
Tukiwa solo
Simu inazimwa
Speaker zina imba
Tukiwa solo
Anapenda ndombolo
Ya solo

Picha zina pigwa
Insta na anikwa
Eti nime lambwa lolo
Stingo zake niza a e i o Uwi 
 niza a e i o mamamamama
Stingo zake niza a e i o Uwi 
 niza a e i o mamamamama
Aki vile mina penda watoto
Nikama nili rogwa
Kwa baridi iwe kwa joto
Vile mi napenda watoto
Ata wanitende mwenzako sikomi oh sikomi
Ye Unakumbuka yule wa dimples
Mwenye Ana lines kwenye shingo
Juzi ali slide ndani ya inbox ooh
Mtoto mkorofi anapenda fimbo
Alinicheza nikama wimbo
Oh sikujua itaku ivyoo
Oh yeah yeah

Stingo zake niza a e i o Uwi 
 niza a e i o mamamamama
Stingo zake niza a e i o Uwi 
 niza a e i o mamamamama
At ease alert at ease alert yani kuji chunga form ni
At ease alert at ease alert Woyoyoyoyo
At ease alert at ease alert yani kuji chunga form
Ni at ease alert at ease alert
Aaahyeaa

Twende wote
Nairobi kampala aahh yeah
wote wamejibeba wanachanganya
Kigali kinshasa aah yeah
oooh wame weza wanachanganya
Daresalama mombasa aaah yeah
Watamu kama pweza Wanachanganya
Harare mauritius aaah yeah
 tunawapenda wote wanachanganya

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: