Nandy ft. Billnass – Do Me Lyrics

Nandy Do Me

Nandy ft. Billnass – Do Me Lyrics

Nandy Do Me Lyrics

Chocolate kalambaje?
Na hata sielewi kanipata pata
Kwani kanipata aje
Ameniweza weza nimenata nata

Kwa penzi nakupenda
Na nashindwa kukukata
Ndo ujinga huo

Umeniweza weza
Umenipa limbwata
Ndo nini hivyo

Ukinipata penzi basi zima data
Ndo chips hizo
Na vinyama nyama pilipili washa
Ndo tamu hivo

Baby walahi

Do me, do me, do me
Do me, do me, do me
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni

Do me, do me, do me (Do me aii)
Do me, do me, do me (Do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni

Nafikiri uliumbwa
Kwa ajili yangu mahususi
Na kila Nikikutazama
Nafaa nifikirie harusi

Nafiki kutumia shela
Nafikiri kuhusu suti
Sifikirii kutumia kinga
Hata waseme una virusi

Viuno vingi kama Christian Bella
Peace ya msela
African princess na ndela
Hata warika na mapunga waje kula mchele
Si wanatoa siri za nyuma twawapa siti za mbele

Mapigo mama yanakwenda mbio
Nisamehe kama napokwona sio
Mapigo mama yanakwenda mbio
Nisamehe kama napokwona sio

Vile kata, kata ukapinda mgongo
Uliposema tangu ukawachanganya wabongo
Vile sikupakii mkenya wala sikupakii mcongo
Labda arushe matofali maana nishazoea udongo

Do me, do me, do me (Do me aii)
Do me, do me, do me (Do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni

Do me, do me, do me (Do me aii)
Do me, do me, do me (Do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: