Nandy – Nimekuzoea Lyrics

Nandy Nimekuzoea Lyrics

Nandy – Nimekuzoea Lyrics

Nimekuzoea Lyrics by Nandy

(Kimambo on the beats)
Aiyayayaya aiyayayaya
Aiyayayaya aiyayayaya

Niko tu mi baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi

Aii zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli nilishe nishibe
Kitumbo ndindi

Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee

Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we

Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea

Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote, abobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena

Nipo katikati nazungukwa na upendo
Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
Wanafikaga wapi? Peku bila sendoff
Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo

Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we

Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea

Written by; Nandy
Album/EP; Taste

Nandy Nimekuzoea Lyrics

Nandy Nimekuzoea Lyrics English Translation

(Kimambo on the beats)
Aiyayayaya aiyayayaya
Aiyayayaya aiyayayaya

I’m just a baby
Like water in a pitcher
Strength every baby
Pull me out and let me live and stay calm

Aii zuri baby
Write it on the other side
The food I eat is full
The stomach is empty

You’re teasing me, you’re teasing me
You relieve me ai wee
If you start inside you can in bed
On the tsunami table, the coffin is wee

I love you, I think
Bora my oh, my boo boo
I love you and I love you

I’m used to you, I’m used to you
I’m used to it, I’m used to it
I’m used to you, I’m used to you
I’m used to it, I’m used to it
I’m used to it

Get used to it, get used to it
Go all the way, go all the way back
I get wet all over, I get wet until I get wet
It sucks it all, it sucks it sweetly it sucks again

I am in the middle and surrounded by love
Where do I come from? The whole plug has not left a gap
Where do they end up? Peku without sendoff
What time do you get there all walk in your motion

I love you, I think
Bora my oh, my boo boo
I love you and I love you

I’m used to you, I’m used to you
I’m used to it, I’m used to it
I’m used to you, I’m used to you
I’m used to it, I’m used to it
I’m used to it

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: