Nviiri The Storyteller – Message (Outro) Lyrics

Nviiri The Storyteller Message Outro Lyrics, Nviiri The Storyteller Message Lyrics

A message to your father, mwambie nimewacha ujana na pombe sitakunywa tena (Sitakunywa mbele yake)
Another message to your mother, mwambie nimejua kukaranga, lakini chunga asijue (Ilikuwa kwa jikoni yake)

But most of all let them know that I love you, let them know that I care
Na tumewa alika sherehe, leo ni siku yangu na we eh-eh, fungua champagne let’s celebrate

A message to your brothers, tafadhali wasinikimbize
Hivyo wanavyokulinda zaidi nitakulinda, hiyo wajue
Another message to your sisters, wajue sijawai kukuficha chochote, siri ni ya wawili tu, just me and you

But most of all let them know that I love you, let them know that I care
Na tumewa alika sherehe, leo ni siku yangu na we eh-eh, fungua champagne let’s celebrate

And this my message to you, that you’re the miracle I’ve been praying for, the miracle I’ve been waiting for
Ohh and I hope that I’m the miracle you’ve been praying for, the miracle you’ve been waiting for
And the world will know that I love you, they will know that I care
Na tumewa alika sherehe, leo ni siku yangu na we, fungua champagne na tulewe

    Lyrics Knowledge:

  • Written by: Nviiri The Storyteller
  • Album: Inside Out
  • Released: 2023