Paul Maker x Harmonize – Serikali Kuu Lyrics

Paul Maker Serikali Kuu

Paul Maker x Harmonize – Serikali Kuu Lyrics

Paul Maker Serikali Kuu Lyrics

Just to show them we can do both
Ukinipa beat nachana, utasema boss
Riki, misitabiriki, fundi wa muziki
Wananiita kisiki, Eey
Dem Wako akisema simpendi konde boy huyu
Uju ka ni game nakaliwa buyu
Endelea kungojea mchicha
Uje kua mbuyu, usijifanye huniskii
Nigga I’m talking to you

Hatuna TV na hatuna radio (radio)
Yes, of course, we run the city yoh (city yoh)
Hit after hit tega sikio
Kichwani haziishi material
I’m a genius musician, leo nakalisha ma rapper
Wenye chuki na mimi watasema najitapa
So many sacrifice jo hadi kufika hapa
Nikifa mnizike kwa heshima kama Benjmin Mkapa

Nyerere, chizi flow dada zao wanachuma tembele
Singezaliwa mtwara na singezaliwa mbele
Kama ningecheza mpira ni levels za kina pele
Kwenye mziki nimeletwa ninwazime makelele

Mi hua nafanya visivyo fanyika (ouuh)
Huaga nachana visivyochanika (ouuh)
Bara muombe kuungana mutanusulika
(mkifosi kushindana nitawafunika)

Kuu, la mizuka
Watasema tuko vindoo vindoo
Vindoo vindoo
Kuu, la mizuka
Watasema tuko vindoo vindoo
Vindoo vindoo

Written by; Paul Maker x Harmonize
Produced by; Paul Maker
Released date; 5 August, 2020

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: