Weusi – Ile Saa Lyrics

Weusi – Air Weusi Album Lyrics

Ile Saa Lyrics by Weusi

S2keeyz baby

[Bridge]
Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi, Zidisha ujuzi
kazini ufukuzwe kazi, Bossi hataki uwe bossi,
Bossi huyooo,
Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyooo,

[Chorus]
Saa mnalala nasimama dede (dede), Saa
mnapanga Mungu alipanga (yeye),
Eerrh,
Si tulipeleka rap club bana (aree),
Si tulifanya mkasema wanabana (maree),
Si tulifanya wakaacha kubana (tchii tchii),
Aseh hapo hutopata rap za kufanana (tchii tcheo),
Na sie hatukusubiri kufa kufaana (yeii),
Na Chuga ni mbegu kali tunazaana (ayeeii),
Tananitashibo, Ukileta sizo,
Sisi ni matatizo (yeah),

I don’t sleep Oh no, no, no, noo, Party silali bwana,
Hatuna namna, namna, namna, Ni si tutusue bwana,
Ile saa ya kufanya ya maana, Fanya ya maana,
Ua maupinzani (ua),
Zima maushindani (Zima), Zima roho fulani
(Zima),
Ua Mashetani (ua),
Si ndio Wakanda Forever, Wanahianya wherever,
Ile saa ulisandaa,
Hadi na kuita geneza, Nauliza msingi ulimeza,
Ulisahau kuvaa unateleza,

Ukileta umimi na mi naleta umimi mee,
Ukileta usiku naleta mwezi mzima mee,
Saa mmelala nasimama dede
Na saa mshakufa nasukuma chepe,
Watoto wa kulea waambie tetee,
Watoto wakitaka wacha walete,
Usiposhika hela mwezi Shika adabu,
Muziki wa vijana watu wanakesha kwa babu,
Maswali ya Mungu shetani sio jawabu (hakosi),
Mungu akikupa shetani hakosi sababu (mikosi),

Ile saa, ubaya upo mbele wema uko nyuma,
Ile saa, wanga wanazima, Mungu anawasha,
Ile taa, bossi fisadi anatumbuliwa,
Ule usaa, ndo nyumba aliahidi utanunuliwa,
Ngumu kupanda kama una marafiki wanaoshuka,
Ni ngumu kuficha kama ulichojamba kinanuka, Eti
Weusi vipi nyinyi hizi ngumu mnauza,
Sita ua, tisa juu chini ukigeuza,
Mke wa malaya kama mume anampuuza,
lla saa unampa vidonda wengine wanampuliza, ile
saa,
ile saa.

Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi

Weusi Ile Saa Lyrics

    Lyrics Knowledge:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: