Weusi – Air Weusi Album Lyrics
VI Deadly Lyrics by Weusi
[Intro]
Najua ni vitamu, nakula mi vitamu
Najua mi vitamu, nakula mi vitamu
[Chorus]
Kimanati manatii leo Watoto nang’oka na zetu vi
deadly o Wala sio kismatii Watoto nang’oka na
zetu vi deadly o Kimanati manatii Watoto
wanang’oka na zetu vi deadly o Wala sio kismatii
Watoto nang’oka na zetu vi deadly o
Mambo nini, mambo sure, Mtoko nini, mtoko sure

Sipigi ngumi mi napiga simu, kwa machizi wangu
hawapigi gym, Viunoni wametia vinu, nikisema su wanateka team
Demu wako vile namshika presha itakushika ukishika simu
Uchumba sukari bora lamba sana maana kwenye
ndoa wanalamba simu Kila tunapokutana si ni
pesa lengo ni kupishana na hali ngumu
Wanatukana kujitambulisha hii ni kumaanisha kweli game gumu
Kimanati manatii leo Watoto nang’oka na zetu vi
deadly o Wala sio kismatii Watoto nang’oka na
zetu vi deadly o Kimanati manatii Watoto
wanang’oka na zetu vi deadly o Wala sio kismatii
Watoto nang’oka na zetu vi deadly o
Mambo nini, mambo sure, Mtoko nini, mtoko sure
Najua ni vitamu, nakula mi vitamu
Najua mi vitamu, nakula mi vitamu
Nafuta mastress watu wake… Mungu akiandika
kaandika … Kuyatimiza tu yake (mema) na sikuwaga na mentor
Makata kata leta, eeh kataleta
Kimanati manatii leo Watoto nang’oka na zetu vi
deadly o Wala sio kismatii Watoto nang’oka na
zetu vi deadly o Kimanati manatii Watoto
wanang’oka na zetu vi deadly o Wala sio kismatii
Watoto nang’oka na zetu vi deadly o
Mambo nini, mambo sure, Mtoko nini, mtoko sure
Najua ni vitamu, nakula mi vitamu
Najua mi vitamu, nakula mi vitamu
Eeh sambaza mapendo kama diba
Hakuna mapengo tushaziba
Zungusha kwa meza tunadiba
Safisha kiwanja toa miba
Watoto wacheze washashiba
Wanapenda ukoko, wanapenda mitoko
Wanapenda mikoko, wanapendaga
I say who say beibe
Man gon dance
Kando nasi eeh
Kimanati manatii leo Watoto nang’oka na zetu vi
deadly o Wala sio kismatii Watoto nang’oka na
zetu vi deadly o Kimanati manatii Watoto
wanang’oka na zetu vi deadly o Wala sio kismatii
Watoto nang’oka na zetu vi deadly o
Mambo nini, mambo sure, Mtoko nini, mtoko sure
Najua ni vitamu, nakula mi vitamu
Najua mi vitamu, nakula mi vitamu
Nikikutaka ukanipata nikakukata utadata
Nilivyokapata nikakang’ata nikakikamata mi ni mtata
Eeh najua pisi kali ohoo, nakula pisi kali ohoo
Watoto sukari (sukari), mbona bado shwari (shwari)
Bang bang shika, uko na wanaume wa shoka,
Nakula mi vitamu (vitamu), gang gang super
Napenda vi vitamu (vitamu)
Nakula mi vitamu (…), napenda vi vitamu wee
Kimanati manatii leo Watoto nang’oka na zetu vi
deadly o Wala sio kismatii Watoto nang’oka na
zetu vi deadly o Kimanati manatii Watoto
wanang’oka na zetu vi deadly o Wala sio kismatii
Watoto nang’oka na zetu vi deadly o
Mambo nini, mambo sure, Mtoko nini, mtoko sure
Najua ni vitamu, nakula mi vitamu
Najua mi vitamu, nakula mi vitamu
Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
Album/EP; Air Weusi
Weusi VI Deadly Lyrics
- Written by:
- Album:
- Released: