Young Dee Mbutika Lyrics
Wakati mnapendana ilikuwa kale
Ilikuwa safi mkiongozana mmegonga sare
Sa ivi noma mnadundana hadi kwenye starehe
Mwisho wa siku wasio na kitu ndo watasema
Samehee
Macho kwa pesa tu moyo una ganzi
Atakupa presha uje kufa kitwanzi
Huna pesa, huna hadhi
Achana na mapenzi ebu tafuta kazi
Macho kwa pesa tu moyo una ganzi
Atakupa presha uje kufa kitwanzi
Huna pesa, huna hadhi
Achana na mapenzi ebu tafuta kazi
Written by; Young Dee
Released date; 12 November, 2020