Nviiri The Storyteller – Bwana Sherehe Lyrics

Nviiri The Storyteller Bwana Sherehe Lyrics

Mimi si bwana yako mi ni bwana sherehe, mi ni bwana sherehe eeh mimi ni bwana sherehe

Tingika-tingika kama unaweza tingika, vunjika-vunjika kama unaweza vunjika, mwagika-mwagika kama unaweza mwagika

I like to drink and I like to party, two nights sijaonana na blanketi, na sasa ninaona sunset ya Monday
I thought you told me its your birthday, hatujuangi shida budgeti, sidhani itakuwa private

I’m always feeling (Nice), always feeling (Nice)
I’m always feeling (Nice), nikiwa sherehe, nikiwa sherehe
I’m always feeling (Nice), always feeling (Nice), always feeling (Nice), nikiwa sherehe

Mimi si bwana yako mi ni bwana shere, mi ni bwana sherehe eeh mimi ni bwana sherehe
Mimi si bwana yako mi ni bwana sherehe, mi ni bwana sherehe eeh mimi ni bwana sherehe

Tingika-tingika kama unaweza tingika, vunjika-vunjika kama unaweza vunjika, mwagika-mwagika kama unaweza mwagika
Tingika-tingika kama unaweza tingika, vunjika-vunjika kama unaweza vunjika, mwagika-mwagika kama unaweza mwagika

Niko na Tatiana, Rukiana, Kiana, shape ya Rihana, tumejipata wote tukikatiana
Ooh maisha ya kistaa, maisha ya kistaarabu, nili-understand assignment universal alignment

I’m always feeling (Nice), niko kwa mawingu (Nice), feeling so high (Nice), nikiwa sherehe
I’m always feeling (Nice), niko kwa mawingu (Nice), feeling so high (Nice), nikiwa sherehe

Mimi si bwana yako mi ni bwana sherehe, mi ni bwana sherehe eeh mimi ni bwana sherehe
Mimi si bwana yako mi ni bwana sherehe, mi ni bwana sherehe eeh mimi ni bwana sherehe

Tingika-tingika kama unaweza tingika, vunjika-vunjika kama unaweza vunjika, mwagika-mwagika kama unaweza mwagika
Tingika-tingika kama unaweza tingika, vunjika-vunjika kama unaweza vunjika, mwagika-mwagika kama unaweza mwagika

    Lyrics Knowledge:

  • Written by: Nviiri The Storyteller
  • Album: Inside Out
  • Released: 2023