Nviiri The Storyteller Pombe Isiwe Tamu Lyrics
Pombe isiwe tamu kushindia ile pesa inanunua, usingizi isiwe tamu ata kama kuna mvua
Leo wakikuinia kesho watakupundua, pombe isiwe tamu
Ukiwa frontline jua unaweza umia, but hapo ndio kuna njia, that’s for those who do not fear, fear
The sun will rise and the sun will set, isikupata kama hujajiseti, ongeza noti kwa kibeti
Ikikwama iforce, usikubali loss, only Jah-Jah knows
Don’t just do it because, you should die for the cause, only Jah-Jah knows
Pombe isiwe tamu kushindia ile pesa inanunua, usingizi isiwe tamu ata kama kuna mvua
Leo wakikuinia kesho watakupundua, pombe isiwe tamu kushinda ile pesa inanunua
Money on my mind I got love for you, always on my mind but where are you
Trying to catch a flight looking so fly, hoping to land on you
Usiwai tegemea binadam, ukitaka kula life na adabu
Machozi jasho ongeza na damu, abracadabra wachira filamu